We recognize parents as vital partners in the educational journey. We believe that strong collaboration between home and school builds a solid foundation for each child’s academic success and personal development.

Zingatia kuwa
  1. Malipo utalipia benki au kwa wakala: 0150701400100 - CRDB ILEMELA ENGLISH MEDIUM SCHOOL
  2. Risiti irudishwe kwa meneja au mkurugenzi pekee.
  3. Ada italipwa kwa awamu tatu, au mara moja au mbili kwa hiari.
  4. Mzazi hataruhusiwa kumpa mtoto pesa; lipia benki au wakala.
Utaratibu wa Kulipa Karo (Ada)
Chekechea
JanuariTsh. 200,000/=
JulaiTsh. 150,000/=
SeptembaTsh. 100,000/=
JumlaTsh. 450,000/=
Msingi
JanuariTsh. 350,000/=
JulaiTsh. 200,000/=
SeptembaTsh. 50,000/=
JumlaTsh. 600,000/=
Darasa la Nne na Saba
JanuariTsh. 450,000/=
JulaiTsh. 200,000/=
SeptembaTsh. 200,000/=
JumlaTsh. 850,000/=
Huduma Zitolewazo Shuleni
Gharama za Chakula na Shajala
Chekechea
JanuariTsh. 200,000/=
JulaiTsh. 100,000/=
SeptembaTsh. 20,000/=
JumlaTsh. 320,000/=
Msingi
JanuariTsh. 200,000/=
JulaiTsh. 100,000/=
SeptembaTsh. 20,000/=
JumlaTsh. 320,000/=
Darasa la Nne na Saba
JanuariTsh. 200,000/=
JulaiTsh. 200,000/=
Septemba
JumlaTsh. 400,000/=
Usafiri kwa Kila Mwezi
Tsh. 50,000/= (Kanda A)
KILOLENI, NYASAKA, MADUKA TISA, BUZURUGA, NUNDU, MECCOKANGAE, MITI MIREFU, NATIONAL
Tsh. 60,000/= (Kanda B)
MAHINA, MABATINI, MJINI, KIRUMBA, NYAMANOROKONA YA BWIRU, ROCKCITY MALL
Tsh. 70,000/= (Kanda C)
AIRPORT, PASIANSI, MSUMBIJI, KISESAMKUYUNI, IGOMA, NYAMHONGOLO, IGOGO, KISEKE
Tsh. 80,000/= (Kanda D)
IGOMBE, TX, NYEGEZI, CAPRIPOINTMAKOROSHONI, NYAMWILOLELWA
Kumbuka
  1. Wanafunzi wote hula chakula cha mchana shuleni tu.
  2. Mtoto hurudishwa nyumbani ikiwa ada haijalipwa bila taarifa ya maandishi.
  3. Michango ya chakula na shajala hulipwa kwenye ACCOUNT NO. 015071400100 - CRDB
  4. Sare ni Tsh. 140,000/= na hulipwa kabla au siku ya kufungua shule.